BEAUTIFUL Onyinye,
Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote
atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi
karibuni.
Akielezea
ishu hiyo, Wema alisema mbwa huyo alikuwa na mwenzake akiishi nao
nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo juzikati
alikorofishana na mwenzake aitwae Thiona na kuamua kutokomea
kusikojulikana.
Msanii
huyo alisema anaomba yeyote atakayemuona Vanila wake awasiliane naye au
atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye na
atakabidhiwa pesa zake taslimu.
-GP
0 comments:
Post a Comment